Umoja Radio

Read Information

Umoja Radio ni kituo cha matangazo ya kiswahili nchini Uholanzi. Moja ya malengo yetu ni kudumisha na kuendeleza lugha yetu ya kiswahili ulimwenguni pote.Lengo lingine ni kusaidia wajane, mayatima kuhusu mambo ya elimu na maitaji mengine. Pia kuonyesha umuhimu wa mila za ki Afrika kwa wazungu na wa Afrika kutambua mila nzuri na potovu za wazungu. Lengo lingine ni kuhunganisha watu kwa pamoja kupitia Radio, mikutano na mafunzo mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya jamii.

Umoja Radio official website address is www.umojaradio.nl

Genre: Various

Haut 10 Netherlands Radio Stations
laissez un commentaire
loading...

Umoja Radio | Radio en ligne en direct

Stopped