Dhamira yetu kama Utukufu FM ni kuburudisha, kufahamisha, na kuhamasisha wasikilizaji kwa vipindi yetu mbalimbali vinavyorushwa kwenye vyombo vyetu vya habari. Tunatamani kutoa maudhui yenye ubora wa hali ya juu ambayo yanashirikisha hadhira yetu, kukuza ushirikiano kati yetu na jamii, na kuboresha maisha kupitia redio, televisheni za mtandaoni na majukwaa ya kidijitali.